MWANAUME ACHAPWA VIBOKO KWA KOSA LA KUFANYA MAPENZI NA MWANAMKE AMBAE HAJAOLEWA....


Kutokana na taarifa zilizokusanywa na Reportghananews.com,

mwanaume huyo aliyelala chini (pichani) alikamatwa amelala (anafanya mapenzi) na mwanamke ambae hajaolewa pande za kaskazini mwa Nigeria. Watu wa eneo hilo walisema kuwa amevunja sheria za kiislamu na anastahili adhabu kwahiyo wakaamua kumchapa viboko 24 kutokana na kufanya tendo hilo.

Wanaume hawatakiwi kulala na wanawake mpaka waoane.

No comments: