Lady Gaga ameonesha kava la wimbo wake mpya “Do What U Want” aliomshirikisha R. Kelly na ni utata mtupu.
Katika kava
hilo, muimbaji huyo ameonekana akiwa amepigwa picha inayoonesha asset
yake na nywele zake zikiwa zimesambaa kufunika mgongo wake wote.
Wimbo huo utakuwepo kwenye albam yake ijayo, ARTPOP, itakayoingia rasmi kwenye iTunes Jumatatu saa 6 usiku.
No comments:
Post a Comment