Wapenzi wawili wamekamatwa kutokana na kitendo cha kufanya ngono ndani ya ndege.
Kwenye shitaka lao, wawili hao
walipatikana na hatia hivyo kila mmoja alitozwa faini ya $250 kutokana
na kitendo hicho kilichotokea wakati ndege hiyo ilipokuwa inatoka
Medford, Ore., kwenda Las Vegas.
Wapenzi hao walitozwa faini hiyo
mnamo June 21, huku ikielezwa, abiria walishuhudia mwanaume aitwaye
Christopher Martin, akijiachia kwa raha zake kwa kufanya mapenzi na
mwenza wake aitwaye Jessica Stroble, licha ya onyo lililotolewa na
wafanyakazi wa ndege hiyo wenza hao waliendelea kufanya yao.
Baadaye Martin aliomba msamaha kwa wale walioumizwa au kukwazwa kutokana na kitendo hicho.
No comments:
Post a Comment