THE DONY AFANYA YAKE KARIBUNI HAPA BONGO

MSANII CHIPKIZA DONY AMBAYE ATAACHIA NGOMA YAKE hikiwa na VIDEO MUDA SIO MREFU ANAFURAHA KUONA ANAPATA SUPPORT YAKUTOSHA NA MANAGEMENT NYINGI ZINAKUBALI NA KUMPA SUPPORT PIA KATIKA KAZI ZAKE ZA MZIKI.
HI NDIO PICHA YA MSANII CHIPKIZI ANAJULIKANA KWA JINA LA EDON ISAYA MAHARUFU KAMA THE DONY
KIKUBWA ANAOMBA KUPATA SUPPORT YA KUTOSHA KUTOKA KWENU WATANZANIA

No comments: