uzalendo kazi kweli kweli hasa ukiwa mtanzania kila mechi maumivu hakinaga siku ya furaha kwetu


Hivi ndivyo hali hilivyo kua uwanja wa taifa siku ya mechi ya taifa na wanaojua,je unafikiri nini kifanyike tanzania tupate maendeleo kwenye mpira wa miguu? mawazo yako ni mchango tosha kuliko wanaochangia ela taslim

dar es salaam taifa maelfu ya watanzania wakishuhudia tunavyo fungwa kama atufanyagi mazoezi au timu haina kambi

Huu ndio uzalendo wetu ambayo ndio ngao ya aman tanzania

taifa

taifa na ivery coast 2-4 taifa 2-ivery 4

haya ndivyo hilivyo kua

No comments: