MSANII JUISI YA MAJUNGWA KWA SASA YUPO GHANA BAADA YA KUMALIZA SHOW ZAKE ATAREJEA TANZANIA WIKI HII

Msanii Juisi ya machungwa kutoka conco Drc anaye ishi Tanzania kujipatia support ya kutosha nchini Ghana wiki hii akiwa anatambulisha Ngoma yake mpya ya KIVULI.ngoma yake mpya hipo mitandaoni kote juisi ya machungwa  ngoma KIVULI
Akiwa anafanya yake nchini Ghana baada ya kumaliza show iliompa heshima kubwa kwa wazawa wa Ghana
na hivi karibuni atakua na show nyingine south Africa cape town atasindikizwa na dancers kibao madadaz na kakaz wenye vipaji vya kudence aina zote za mziki wakiwa wanatoka dar es salaam. muhimu sana kukeep watching TVs na Kutembelea mitandao ya jamii kama facebook,twitter,wasup nk.
Wadau wote hanawapa Hi

No comments: