UMESHAWAHI JIULIZA KWANINI BAADHI YA DADA ZETU WAKIPIGA PICHA WANAGEUZA MAKALIO YAO? JIBU HILI HAPA
Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi...
Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa
mwanamke yoyote ni CONFIDENCE...Mwanaume anapoangalia Sifa za nani
anapaswa kuwa ubavu wake anaangalia kwanza Sifa Hii...Utashangaa wenzio
wote wanawezaje na wewe unashindwa nini,Jibu ndio hilo
Makalio Makubwa bila Confidence ni
sawa na Al Shabaab bila Silaha...Inashangaza mwanamke na akili zake
anapoteza muda,anajivunia Shape,''Oh nimebarikiwa,Nimejazia,Nna shape ya
Ukwee' wakati kichwani zero ana akili za moto kama uji wa ulezi
Hayo Makalio zaidi ya kukalia makochi
yangu na kuyazeesha Mapema kwa uzito usio na Maana kuna lipi la zaidi
yataniongezea kwenye maisha yangu Labda kama nna mpango wa kufungua
bendi ya Baikoko nyumbani kwangu.
Only Cheap girls hukazana kuonyesha
jinsi gani Makalio ni dili na kuyatumia kama Kigezo cha kukamata Wanaume
Cheap.Mwanaume anayekuwa moved na Mwanamke mwenye Makalio makubwa kama
Kigezo pekee lazima akili yake ina ujauzito wa miezi 10 na lazima azae
Kibwengo.
A Confident woman is an Asset, An
Ass-oriented woman is an asshole!...Umeshawahi kujiuliza kwanini kila
wakipiga picha wanaposti Facebook huku wameguza Makalio yao??They are
Cheap Girls hunting for CHEAP MEN...Be A Different Woman...Be Confident
No comments:
Post a Comment