Breaking News: Mkuu wa Kituo cha Polisi apigwa risasi.


ITV Tanzania
Breaking News: Mkuu wa Kituo cha Polisi\ Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga Inspekta Nsekelo amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi katika vijiji vya Lolagana na Mwambe baada ya kutokea mapambano baina ya kikundi hicho na polisi.

No comments: