HII NI VITA: WEMA SEPETU VS JOKATE MWEGELO, KILA MMOJA ANATAMBA KUMPIGA BAO MWENZAKE...!CHEKI HAPA UONE KINACHOJIRI!

Hawa wote  ni wasanii maarufu  wanaojulikana  kimataifa na wenye sura  zenye  mvuto...

Ni  wasichana  jasiri  na  wajasiliamali  wanaojua  kuisaka  pesa  na  wasio penda  kuwa tegemezi.Hapa  nawazungumzia  Wema Sepetu  na Jokate  Mwegelo 

Kumekuwa  na  ushindani  wa  chini chini  kati  yao  kuhusu  sura  zao  kiasi  cha  kuzua  mjadala  wa  nani  ni  mzuri  zaidi  ya  mwenzake....

Wema Sepetu

 Mmoja  akivaa  nguo  hii leo, mwingine  naye  ni  lazima  aitafute  nguo  kama  hiyo  hiyo  kesho aivae  na  kuitupia  mtandaoni ili mashabiki  walinganishe  na  kutoa  hukumu.

Jokate Mwegelo

Hizo  ni  picha  zao  2  wakiwa  ndani  ya  vazi  la  pundamilia. Na hapo wako   mbele  yako  wakiomba  UWAHUKUMU ili  kuukata  mzizi  wa  fitina..

No comments: