TheDony his now coming to show something different in tanzania music 2013
Juisi ya machungwa mkari wa nyimbo za ki congo na kitanzania
anasema anaipenda tanzania koz imempa umaharufu nchini Ghana na mziki wake anaufanya kwa lugha ya kiswahili so anasema kiswahili ni lugha anayoipenda sana na atazidi kuitumia katika kazi zake,
pamoja na hayo bado anawomba kumpa support watanzania na wengineo katika mziki wake na sio fedha bali mawazo na kumshauri anapokosea au hasipo fahamu jambo fulani.
No comments:
Post a Comment