Ommy Dimpoz Na Kampuni Yake Ya PKP.Adai hatofanya Muziki Maisha yake yote!!

Baada ya kumaliza ziara yake nchini Marekani, Msanii Ommy Dimpoz amekuwa busy kutangaza brand yake ya PKP Kupitia mahojiano tofauti anayo pata.


Hizi picha chache kutoka Instagram ya Dimpoz. PKP Itakuwa kampuni yenye bidha nyingi nz wasanii wa Na kusimamia kazi za sanaa na wasanii. Dimpoz ameniambia hataweza kuimba maisha yake yote so Pkp ni biashara yake wakati na baada ya kufanya muziki. Umeipenda Pkp ?
Picha Zaidi Hapa


 

No comments: