VIDEO:SHILOLE ARUHUSU KUSHIKWA KILA SEHEMU YA MWILI WAKE NA MWANAUME ALIPOKUWA JUKWAANI. 0
Kulishika kama utakavyo umbo la kuvutia la mwanadada Shilole ni ndoto ya
wanaume wengi. Lakini vipi kama ndoto hiyo ikikuijia katika wakati
ambapo hujajiandaa kabisa? Utaona aibu kuitimiza? Huenda jibu hili
anaweza kuwa nalo kijana wa Dodoma aliyepata bahati hiyo ya mtende
kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta
mjini Dodoma jana usiku.
Akiwa amevalia nguo iliyolichora vema umbo lake, Shilole alimpa nafasi
kijana huyo kuiota ndoto hiyo walau mara moja katika maisha yake. Kijana
huyo aliyekuwa amevalia t-shirt nyekundu hakufanya ajizi. Akionesha
kufurahia ‘fursa’ hiyo ya aina yake, jamaa alionekana kunogewa kulishika
na kulikumbatia umbo la Shilole ambaye alimruhusu afanye chochote.
Chochote lakini sio vyote!!!
Mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa Dodoma, Shilole alimruhusu jamaa huyo
alikamate kiume paja lake jeupe huku akikata kiuno na kumshika begani.
Tukio hilo lilivuta hisia za maelfu ya wakazi wa Dodoma waliokuwa
wakishangalia mwanzo mwisho. Ama hakika, Shilole anajua kuwapa raha
mashabiki wake.
No comments:
Post a Comment