PATA HABARI KWA UFASAHA HAPA
e-mail; edonisaya@gmail.com
e-mail; edonnathanael@yahoo.com
twitter; Edon Isaya
facebook; Edon Isaya
phone; 0654894210
phone; 0682426975
www.edonisaya.com
KILI MUSIC TOUR YAFUNIKA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS ...MATUKIO KATIKA PICHA
Lady
Jaydee na Mr Blue wakiimba "Wangu" katika Tamasha la Kili Music Tour
lililofanyika Usiku wa Kuamkia leo Katika Viwanja Vya Leaders.
Si
mwingine ni Roma Mkatoliki akiendeleza makamuzi katika Kili Music Tour
Usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja Vya Leaders ambapo Kili Music Tour
ndio imehitimishwa jijini Dar Usiku wa Kuamkia leo
Recho
katika jukwaa la Kili Music Tour Usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja
vya leaders akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar na Vitongoji Vyake
wakati wa Tamasha hilo lililofanyika katika Viwanja Vya leaders usiku
wa kuamkia leo.
Msanii
Recho akikata mauno kuonyesha uwezo wake katika Jukwaa la Kili Music
Tour iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja Vya leaders
Recho
akiwa amebeba na mmoja wa mashabiki wake aliyemuita jukwaani kwaajili
ya kucheza nae, Hapo akionyesha uwezo wake wa kuzungusha nyonga
Zembwela
na Dullah wakiwa ma MC wa Kili Music Tour iliyofanyika Usiku wa Kuamkia
Leo Katika Viwanja vya Leaders wakijadiliana Jambo
Baadhi
ya Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam pamoja na vitongoji vyake wakiwa
makini Katika Kufuatilia Show kutoka kwa Wasanii wa Kili Music Tour
iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja vya leaders.
Mwamba
Wa Kaskazini, John Makini akiporomosha song lake la Bei ya Mkaa kwa
Mashabiki walifurika katika Viwanja vya leaders usiku wa Kuamkia leo
Katika Kili Music Tour iliyofanyika katika Viwanja vya leaders.
The
True Boy Ney wa Mitego, anajiita rais wa manzese akiporomosha song lake
la Salamu zao Kwa Mashabiki waliofurika Katika viwanja vya leaders
usiku wa Kuamkia leo katika Kili Music Tour.
Madee
pamoja na Linex wakitoa burudani kwa wakazi wa jiji la Dar na Vitongoji
Vyake Katika Kili Music Tour waliofurika katika Viwanja Vya Leaders
usiku wa Kuamkia leo
Umati wa Wakazi wa Jiji la Dar waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku wa Kuamkia leo katika Show ya Kili Music Tour.
Diamond na Ney wa Mitego wakiimba Nyimbo ya Muziki gani katika Jukwaa la Kili Music Tour usiku wa Kuamkia leo
Prof
Jay akiwa na lady jay Dee na Nikki Mbishi wakitoa Burudani kwa wakazi
wa Jiji la Dar na vitongoji vyake katika Kili Music Tour iliyofanyika
katika Viwanja vya leaders usiku wa kuamkia leo
Diamond na Ney wa Mitego wakitoa Burudani ya kufa mtu
Diamond platnum akiburudisha wakazi wa jiji
Mzee Yusuph nae alikuwepo
Dj Mafuvu kutoka East Africa Tv and Redio akiwapagawisha mashabiki
Usalama
ulikuwepo kuhakikisha wasumbufu wote wanathibitiwa kama ambavyo kijana
huyu usiku wake ulipoingia doa baada ya kukamatwa na wanausalama kwa
kumpiga na chupa mmoja wa wafanyakazi waliokuwepo katika kili Music Tour
iliyofanyika usiku wakuamkia leo katika Viwanja vya leaders
No comments:
Post a Comment