VIDEO: MTANDAO WA FEDHA HARAMU WABAINIKA KUWEPO TANZANIA...
Mtandao wa kimataifa
unaojihusisha na utengenezaji wa fedha bandia unaowahusisha baadhi ya
wafanyabiashara wa nchi jirani ya Kenya na Tanzania
umebainika kuwepo
nchini kufuatia jeshi la polisi kukamata tena dola za kimarekani na
kusababisha fedha bandia zilizokamatwa katika kipindi cha siku mbili
kufikia zaidi ya shilingi milioni 250.