Siku chache baada Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Machui, Anslem Mwang'amba kumwagiwa tindikali Zanzibar, Polisi visiwani Zanzibar imekamata lita 29 za tindikali kwenye ujazo tofauti...nini maoni yako?

No comments: