PICHA: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA DEREVA WA BODA BODA APEWA KICHAPO NA WANANCHI IRINGA....


kijana anayetuhumiwa kumteka na kufanyia mauwaji  dereva Boda boda Edga Lalika akiwa amezimia baada ya kupewa kichapo na madereva boda boda eneo la Stendi kuu ya mkoa wa Iringa baada ya kukamatwa eneo la Mwangata


Mwili wa marehemu Edga Lalika anayedaiwa kuuawa na mtuhumiwa huyo juu aliyekamatwa .

Polisi wakimuokoa mtuhumiwa wa mauaji ya dereva boda boda leo mjini Iringa

Askari polisi mjini Iringa wakimuokoa mtuhumiwa





Hapa akiingizwa katika gari la polisi kunusuru kuuawa kwa kuchomwa moto


Wananchi wakishuhudia tukio hilo leo






Gari la polisi ambalo limembeba mtuhumiwa wa mauaji ya dereva boda boda


Msafara wa madereva boda boda wakilifukuza gari la polisi kwa nyuma

No comments: