Baada
ya kutuhumiwa kugawa uroda kwa Lucci ili aweze kuuza sura
katika video mpya ya "dada, kaka" , Jokate ameamua kufunguka na
kuzikanusha tuhuma hizo....
Huu ni ujumbe wake alioutoa instagram.
"Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya
Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa
majungu.
1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani
kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye
Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia.
And that's what we did na KAKA
DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana
zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci
and this so called affair. Jamani kuliko maneno tufanyeni Kazi
kuendeleza nchi yetu
2. Sijifanyi mtakatifu. Ila najitahidi kufanya
matendo yanayompendeza Mungu. Na kwasababu kama binadamu sina ukamilifu
basi only God can really judge me cause ndio anajua moyo wangu kuliko
binadamu yoyote yule. Ila I'm a pretty good girl to be honest. Najaribu.
Kwa nyinyi walimwengu don't be fooled by my PRETTY BABY FACE I know
what I want, am fierce and I don't take trying to tarnish my image
easily.
So kindly don't mess with KIDOTI. Msione mtu mkimya mkajua ndio
wa kumuonea. Still waters run deep
3. Yes there's some guy I'm checking
out. Like any other female I deserve love cause I got so much love to
give hey. So whoever it is tafadhali tusiharibiane kwa maneno maneno."