JINI KABULA AAMUA KUKIMBILIA BONGO FLEVA BAADA YA KUONA FILAMU ZA BONGO HAZILIPI.

http://edonisaya.blogspot.com/

JINI KABULA AAMUA KUKIMBILIA BONGO FLEVA BAADA YA KUONA FILAMU ZA BONGO HAZILIPI.

Wimbo wake inawaponda wale wanaume ambao wanawategemea wanawake ila bado wanaishia kuwanyanyasa na kuwapiga.

Kaimba kitu ambacho kilimtokea yeye katika maisha yake.Kaifanya Chaidaz Records kwa Producer ABIDADY Chini ya Meneja Kapasta.

Wanaume kazi kwenu mnaowategemea Wanawake na kuishia kuwanyanyasa na kuwapiga sana.