Viongozi 160 wa kidini nchini Somalia wametoa Fatwa inayolaani vitendo vya kundi la al-Shabab, wakisema kuwa hairuhisiwi kidini
Putin ameonya wamarekani
kwamba shambulio lolote la jeshi la Marekani dhidi ya Syria
litasababisha kuzuka kwa wimbi jipya la ugaidi
Raia mmoja wa Canada
amekamatwa nchini Colombia akiwa na tumbo bandia ya ujauzito alimokuwa
ameficha dawa ya kulevya aina ya Cocain
No comments:
Post a Comment