Rick Ross Sio Single Boy Tena, Ameanzisha Mahusiano Na Huyu
Rick Ross Sio Single Boy Tena, Ameanzisha Mahusiano Na Huyu
Kama
ilikupita basi daka hii mpya kutoka kwa Rozay, Miezi michache iliyopita
aliachana na mpenzi wake wa muda mrefu maarufu kama Shateria
Moragne-el, huyu ndiye binti aliye kuwa nae kwenye tukio la gari ya Rick
Ross kupiga risasi wakati anatoka kwenye sherehe ya siku yake ya
kuzaliwa.
Ukweli
ni kwamba Rozay ametengana nae kwa muda sasa ila Binti huyo alifanya
tukio hilo siri kwa marafiki zake na kuendelea kuwambia watu kuwa yupo
na Rozay.
Huyu ndio mtoto mpya wa Rozay anaitwa Christelle Blanche.
No comments:
Post a Comment