PATA HABARI KWA UFASAHA HAPA
e-mail; edonisaya@gmail.com
e-mail; edonnathanael@yahoo.com
twitter; Edon Isaya
facebook; Edon Isaya
phone; 0654894210
phone; 0682426975
www.edonisaya.com
PICHA: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA DEREVA WA BODA BODA APEWA KICHAPO NA WANANCHI IRINGA....
kijana anayetuhumiwa kumteka na kufanyia mauwaji dereva Boda boda
Edga Lalika akiwa amezimia baada ya kupewa kichapo na madereva boda
boda eneo la Stendi kuu ya mkoa wa Iringa baada ya kukamatwa eneo la
Mwangata
Mwili wa marehemu Edga Lalika anayedaiwa kuuawa na mtuhumiwa huyo juu aliyekamatwa .
Polisi wakimuokoa mtuhumiwa wa mauaji ya dereva boda boda leo mjini Iringa
Askari polisi mjini Iringa wakimuokoa mtuhumiwa
Hapa akiingizwa katika gari la polisi kunusuru kuuawa kwa kuchomwa moto
Wananchi wakishuhudia tukio hilo leo
Gari la polisi ambalo limembeba mtuhumiwa wa mauaji ya dereva boda boda
Msafara wa madereva boda boda wakilifukuza gari la polisi kwa nyuma
No comments:
Post a Comment