Ni siku moja tu baada ya Naibu rais wa Kenya William Ruto kufika mbele ya mahakama ya ICC kwa kuhusika na ghasia za baada ya uchaguzi wa Kenya mwaka 2007........mwendesha mkuu wa mashtaka Fatou Bensouda alisema mashahidi hawako tayari kufika mbele ya mahakama leo na kulazimisha mahakama kuakhirisha kesi ya Ruto hadi wiki ijayo.........Nini maoni yako kwa hili?
Ni
siku moja tu baada ya Naibu rais wa Kenya William Ruto kufika mbele ya
mahakama ya ICC kwa kuhusika na ghasia za baada ya uchaguzi wa Kenya
mwaka 2007........mwendesha mkuu wa mashtaka Fatou Bensouda alisema
mashahidi hawako tayari kufika mbele ya mahakama leo na kulazimisha
mahakama kuakhirisha kesi ya Ruto hadi wiki ijayo.........Nini maoni
yako kwa hili?
Mbali
na hayo, kesi ya mshukiwa mwenza wa Ruto, Joshua Sang ambaye ni
mwandishi wa habari, itaanza leo........tutazidi kukupasha
yatakayojitokeza kuhusu kesi hiyo..........tembelea mtandao wetu
bbcswahili.com
Vipi lakini habari za uliko? Asubuhi yako inakwendaje?