NDOA YASAMBATIKA KANISANI BAADA YA BWANA HARUSI KUSHUTUMIWA KWA UMALAYA..!!
Hili ni tukio la kusikitisha, lakini lenye mafunzo kibao ndani yake....
Tukio
hilo lilitoke mwanzoni mwa mwezi wa nane mwaka huu ndani ya
kanisa la Pentekoste la nchini Kenya ambapo wanandoa wawili
walikuwa wakila kiapo cha maisha mbele ya mchungaji wa kanisa
hilo....
Dakika
chache kabla ya wanandoa hao kuapishwa na kuruhusiwa kuvishana
pete, Mchungaji wa kanisa hilo aliwauliza waumini kama kuna
yeyote mwenye pingamizi la kufungwa kwa ndoa ya wapenzi hao...
Baada ya swali hilo, mwanamke mmoja alisimama na kuelekea mbele ya kanisa hilo huku akiwa na vyeti mkononi....
Alipomkaribia
mchungaji, mwanamke huyo alipaaza sauti yake na kusema kuwa
ndoa hiyo haistahili kufungwa kwa sababu yeye na bwana harusi
wanamtoto waliyemzaa pamoja na kwamba walikuwa na mipango ya
kuoana....
No comments:
Post a Comment