KITUKO KINGINE CHA NICK MINAJ NI HIKI HAPA.ADAI KUTEMBEA MAZIWA NJE NJE MTAANI NDO ZAKE.
Wiki
hii Picha za Nicki Minaj zikimwonesha akiwa kavaa kikoti ambacho
kiliacha maziwa yake nje zilisambaa katika mitandao mbalimbali na
kufanya watu wajiulize kama ilikuwa ni bahati mbaya kuvaa vile au
alifanya makusudi kama tulivyomzoea.
Picha
hizo pia Minaj mwenyewe alizishare Instagram kumaanisha haikuwa bahati
mbaya, lakini kupitia kipindi cha Ellen Nicki amethibitisha kuwa hapendi
kuvaa nguo ya kuhifadhi kifua chake (bra) na kuziita nguo hizo ‘devil’.
No comments:
Post a Comment