IRENE UWOYA "NTAPIGANA NA SHIGONGO MPAKA TONE LA MWISHO LA DAMU, NTASEMA KILA KITU KWANINI ANANICHUKIA"
Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya
ameendelea kumshutumu mkurugenzi wa Global Publishers Erick Shigongo kwa
kumchafua na kuahidi siku moja kuongea na kuweka wazi na ushahidi kila
kitu kati yake na Shigongo.
Kupitia akaunti yake ya Instagram @irenewaferegola8, uwoya ameandika:
“Ipo siku ntaongea ukweli kuhusu
shigongo na ushaid pia ntatoa…usilo lijua nikama usiku wagiza ndomana
atawadanganya wasio na akili na wasio mjua….ntapgana nae mpaka tone la
mwisho la damu yangu ntasema kila kitu kwanin ananichukia…na ntaweka
kila kitu waz….den wenye akili watajua naongea nin…simuogop atakama
atanichafua kiasi gan…hizo kwangu ni matone yamvua bado mvua yenyewe…I
don care kwaatakae muamin but mwisho wa siku ukweli utaonekana na
atataman ardhi ipasuke……mim irene uwoya sijashawishiwa na mtu wala
kulazimishwa nahaaidi ya kwamba ntaongea kila kitu btwn me n him….eeh
mwenyez ? MUNGU nisaidie. “
Shutuma hizi zimekuja baada ya gazeti la
Risasi linalomilikiwa na Global Publishers katika ukurasa wake wa mbele
Jumamosi iliyopita kuandika habari yenye kichwa cha habari ‘UWOYA
MBARONI KWA WIZI WA SIMU’, na baadaye Irene alipost Instagram picha ya
gazeti hilo na kuandika:
“Minimti wenye matunda milele siogop
kupigwa mawe…shigongo kamua kunichafua coz nakes nae mahakaman…anadhan
ntaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho wasiku sheria iatafata
mkondo wake….minayake mengi nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe
tindikali”
No comments:
Post a Comment