Diamond ajibu tuhuma za KUMTUNDIKA MIMBA mwanafunzi na zile za wimbo wa Dayna na Baba Levo.
Hatimaye
Diamond Platnumz leo amejibu tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabali
ikiwemo ile ya Dayna Nyange kudai kuwa alitumia beat ya wimbo wake
kurekodi wimbo wake unaotamba sasa, Number 1 na pia kuhusu Baba Levo
kudai Diamond alimuibia chorus ya wimbo wake.
Katika
mahojiano na kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond pia amejibu scandal
kuhusu kumzalisha mwanafunzi iliyoandikwa na magazeti ya leo.
No comments:
Post a Comment