Diamond Ametisha China.


Msanii wa Bongo Fleva Diamond alikuwa China kwa muda wa wiki mbili akijipanga kwa ajili ya show yake aliyofanya weekend hii.

Show imefanyika Guangzhou ndani ya Rich Club na Kama kawaidia Diamond Plutinumz alifanya show nzuri na fans waliridhika. 

Picha Iko Hapa

No comments: