Sasa Vodacom Tanzania inakupa nafasi ya kuweza kujishindia Ma ipad Mapyaaaaaaaa....

Sasa Vodacom Tanzania inakupa nafasi ya kuweza kujishindia Ma ipad Mapyaaaaaaaa....

 Sasa Vodacom Tanzania inakupa nafasi ya kuweza kujishindia Ma ipad Mapyaaaaaaaa.... chakufanya: record clip yako ukiwa unadance Ngololo kisha i Upload kwenye instagram account yako na baada ya hapo kwenye Capption hashtagg neno #VodacomNgololo na video yako itakuwa imetufikia na utaingia kwenye shindalo hili la Ngololo Dance Competition na kuweza kujishndia ipad toka Vodacom Tanzania....#Note: haijalishi uko Mbali kias gani au uko Nchi gani popote ulipo tutakufikishia...!