So
Rehema Chalamila aka Ray C na mtangazaji wa kipindi cha Take One cha
Clouds TV, Zamaradi Mketema haziivi? Katika kile kilichoacha wazi midomo
ya watu wengi, warembo hao leo wameingia kwenye vita vya maneno kwenye
mtandao wa Instagram. Alianza Zamaradi aliyepost picha yenye maneno ya mafumbo:
Picha hiyo aliiandikia
maneno haya:
Huwezi
amini sikuchukii ila nimezidi kukudharau!!!! Katika watu wa mwisho kabisa ambao
siwezi kupanic nao hata siku moja ni WEWE.. Dont waste your energy.. you have
so much to accomplish ndugu.. mi hunipi tabu kabsa, kabsaa, kabisaaaaaaaaa yani
sanasana unanichekesha tu na vituko visivyoisha.. lol!! Ila sikulaumu sana sio
kosa lako maskini…
ungekuwa
una akili usingefanya hayo ya kitoto tena hasa KWA KIPINDI HIKI.. na huenda
hiyo sio akili yako mwaya.. NIMEKUSAMEHE BURE maana hapo ulipo hujielewi
bado..
Dramas Dramas Dramas…
sizipendagi ila huwa zinanifata zenyewe.. lol!!! Mbona naandamwaga hivi jamani
kwani kosa langu nini mimi mtoto wa watu… hahahahahaaaa majanga haya
@wemasepetu anyways sorry to my good people jamani kwa mapost ya aina
hii..
sometimes
inabidi coz mwisho wa siku mi ni binaadamu tu wa kawaida.”
Wema
naye aliongeza kwa kuchangia: Mbona majanga….. dont waste ur tym to fools
maamy…. nawe utaonekana a fool… fanya yako… wanaokufatilia wanatamani wawe kama
wewe… na si kingine its called ENVY.”
“Sina
hata time nae mammy bado ana vichembechembe kwenye ubongo.. maana ghafla tu
anaanza kuniparamia jamani.. lol!!! Kishafulia anatafuta kick kwa kugombana na
watu.. mtu wa zamani,” aliongeza Zamaradi.
Japokuwa
Zamaradi hakutaja wazi nani mlengwa wa ujumbe huo, ni Ray C mwenyewe ndiye
aliyejibu kwenye maelezo ndani ya post yake kwenye mtandao huo akisema:
“Hihihi
kazi kwelikweli mi naweza posts zangu watu wanajihisi au wanaumia. Tatizo
skuliiiii shauri yako #uki skuli kdg wala matatizo hakuna ila km huja skuliii
mweeeh unakua mbulula mama we hujui fanya yako achana na watu weusi,” aliandika
Ray C.
Aliongeza
tena, “Haswa anajiona kichwa kumbe mbulula haswaa Hana lolote,Watu wameanza
shughuli hizo anazofanya wenzie tulishazifanya kitambooooooooo,tushauza sura
sanaaaaaaaaaa zaid ya miaka. 12 namuangalia simmalizi maana haeleweki.”
Haukuishia
hapo, Zamaradi aliongeza tena kwa kuweka post mpya.
“Nashusha
sana hadhi yangu kwakweli dealing with watu wenye hasira na maisha ya watu
wengine… this is not ME kabisa. Una mengi ya kutukaniwa lkn mi ni binaadamu
ninaejua baya na zuri.. maisha yashakushinda wewe sasa USIPANIC.. jipange. Ushafanywa
yote ya dunia ntakuweza wapi mie mtu wa zamani,” aliandika Zamaradi kwenye
picha hiyo.
No comments:
Post a Comment