mwenye blog hii called Edon cooper ana watakia jioni njema

mwenye blog hii called Edon cooper ana watakia jioni njema.pia nawaomba mkiwa mnasoma kwenye blog hii jitahidi walau kuacha comment kwenye habari muhimu ulioona inakugusa wewe,i na maana kwamba niweze kujua jinsi watu nao wapa habari wanamaoni gan na wange pendelea kitugan kifanyike zaidi  katika maboresho ya habari zangu pia na blog wapi inawapa matatzo.

na muda wa saa moja kila siku ntakua hewan nawasanii mbali mbali mkiwaoji maswali na kuwapa live yanayo wakela kupitia page zifuatazo

edon cooper.    on facebook
musician-edon  on facebook pages
edon isaya        on twitter
edon isaya        facebook user name
edon isaya        on  google
www.edoncooper.tumblr.com in my site
www.edonisaya.blogspot.com
Post a Comment