KILI MUSIC TOUR YAFUNIKA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS ...MATUKIO KATIKA PICHA


Lady Jaydee na Mr Blue wakiimba "Wangu" katika Tamasha la Kili Music Tour lililofanyika Usiku wa Kuamkia leo Katika Viwanja Vya Leaders.

Si mwingine ni Roma Mkatoliki akiendeleza makamuzi katika Kili Music Tour Usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja Vya Leaders ambapo Kili Music Tour ndio imehitimishwa jijini Dar Usiku wa Kuamkia leo

Recho katika jukwaa la Kili Music Tour Usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja vya leaders akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar na Vitongoji Vyake wakati wa Tamasha hilo lililofanyika katika Viwanja Vya leaders usiku wa kuamkia leo.

Msanii Recho akikata mauno kuonyesha uwezo wake katika Jukwaa la Kili Music Tour iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja Vya leaders

Recho akiwa amebeba na mmoja wa mashabiki wake aliyemuita jukwaani kwaajili ya kucheza nae, Hapo akionyesha uwezo wake wa kuzungusha nyonga

Zembwela na Dullah wakiwa ma MC wa Kili Music Tour iliyofanyika Usiku wa Kuamkia Leo Katika Viwanja vya Leaders wakijadiliana Jambo

Baadhi ya Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam pamoja na vitongoji vyake wakiwa makini Katika Kufuatilia Show kutoka kwa Wasanii wa Kili Music Tour iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja vya leaders.

Mwamba Wa Kaskazini,  John Makini akiporomosha song lake la Bei ya Mkaa kwa Mashabiki walifurika katika Viwanja vya leaders usiku wa Kuamkia leo Katika Kili Music Tour iliyofanyika katika Viwanja vya leaders.

The True Boy Ney wa Mitego, anajiita rais wa manzese akiporomosha song lake la Salamu zao Kwa Mashabiki waliofurika Katika viwanja vya leaders usiku wa Kuamkia leo katika Kili Music Tour.

Madee pamoja na Linex wakitoa burudani kwa wakazi wa jiji la Dar na Vitongoji Vyake Katika Kili Music Tour waliofurika katika Viwanja Vya Leaders usiku wa Kuamkia leo

 Diamond na Ney wa Mitego wakitoa Burudani ya kufa mtu

 Diamond platnum akiburudisha wakazi wa jiji

 Mzee Yusuph nae alikuwepo

 Dj Mafuvu kutoka East Africa Tv and Redio akiwapagawisha mashabiki

No comments: