Diamond ajibu tuhuma za KUMTUNDIKA MIMBA mwanafunzi na zile za wimbo wa Dayna na Baba Levo.

Hatimaye Diamond Platnumz leo amejibu tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabali ikiwemo ile ya Dayna Nyange kudai kuwa alitumia beat ya wimbo wake kurekodi wimbo wake unaotamba sasa, Number 1 na pia kuhusu Baba Levo kudai Diamond alimuibia chorus ya wimbo wake.  

Katika mahojiano na kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond pia amejibu scandal kuhusu kumzalisha mwanafunzi iliyoandikwa na magazeti  ya  leo.

No comments: