Makamu
wa rais wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal amewaongoza wakazi wa Dsm
kuuga mwili wa mtangazaji mkongwe Julius Nyaisangah katika viwanja vya
Leaders Club.
Mwili wa marehemu unatarajiwa kupelekwa kwao Tarime kwa mazishi.Mungu ampumzishe kwa amani Julius Nyaisanga.
No comments:
Post a Comment