SIMULIZI YA KUSIKITISHA YA KAHABA ALIYEJIKUTA KATIKA UKAHABA BILA KUPENDA.INAUMA TENA SANA.
Nilikua
mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika
kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile ,
basi siku moja moja nilikuwa naenda kujirusha na bosi wangu .
Ukizingatia
kwamba sikuwa na mume wala mchumba na kwa kweli huyu bosi ndio alikuwa
mtu wa kwanza kufanya nae tendo la ndoa , hivyo nilifurahia mhemko wake
na jinsi alivyokuwa ananipenda na kunijali kila kitu nilipata na zaidi .
Alifanya
yote haya bila kunificha kwamba ana mke na watoto nyumbani kwake
kwahiyo wakati mwingine chochote kinaweza kutokea nijiandae kwa shuguli
hiyo pevu kama mke wake akishitukia dili hilo .
Tulikuwa
na uhusiano na huyu bosi kwa miezi 4 hivi mpaka siku moja katika tembea
tembea mitaani nikakutana na kijana mmoja mtanashati akanieleza kwamba
ananipenda na kunizimia sana yaani ameshanifia
Huyu
kijana alihangaika kwa mwezi mzima mpaka siku nikaja kumkubalia akawa
ndio mpenzii wangu halali sasa , nilimwamini sana naye aliniamini sana ,
miezi 3 tokea kujuana na huyu kijana aliniambia kuhusu kufanya nae
tendo la ndoa .
Nilifikiria
sana wakati mwingine nilitaka kulia jinsi alivyokuwa ananishika na
kuniomba tendo la ndoa akiwa chumbani kwangu , alijaribu kunishika
sehemu kadhaa akanivua nguo nami nilimtolea nje nilimkatalia .
Basi
siku moja nikamwomba tukaangalie afya zetu , kijana wa watu alikasirika
sana wiki nzima hakufika nyumbani kwangu wala kunipigia simu , kumbe
alitaka tufanye tendo la ndoa bila kinga ? sasa ningejuaje kuhusu afya
yake ? au ananiamini nini mimi ?
Maisha
yaliendelea na mambo mengine yaliendelea tu wiki ya 3 alinipigia simu
akaniomba msamaha turudiane na alikubali kwenda na mimi kupata vipimo
vya afya zetu kujua kwanza kabla hatujaanza mambo mengine yoyote yale .
Basi
ndio hivyo majibu yaliyoka mazuri , ndio mapenzi yetu yalikuwa zaidi na
penzi nilimpa bila hiyana wala aibu yoyote , yeye mwenyewe alifurahia
mambo yangu na kwanza alikuwa anatoroka nyumbani kwao kuja kulala kwangu
wakati mwingine mwezi mzima .
Tuliendelea
kwa miezi kadha na huyu kijana huku na mimi nikiwa na bosi wangu kule
kazini , basi bwana siku moja , sisi officini tulitakiwa kwenda kutoa
damu hospitali ya muhimbili katika maadhimisho ya siku ya afya duniani .
Watu walipimwa afya zao na mimi nilipimwa , majibu yangu yalikuwa ya
kutatanisha sikuamini macho yangu wala masikio yangu , nilienda
hospitali ingine napo majibu yalikuwa yale yale kwamba nimeadhirika na
UKIMWI .
Haya
majibu yalimfikia mpaka bosi wangu nae akatambua hilo akasikitika sana
naye alivyoenda kupimwa akakutwa hajaadhirika , basi nikajua moja kwa
moja ukimwi nimepata kutoka kwa yule kijana wa mitaani na sio mtu
mwingine .
Nikamwomba
huyu kijana tukaangalie afya zetu kwa mara ingine tena hospitali ,
tukaenda kule kupima afya zetu , yeye ndio alikuwa wa kwanza kupokea
majibu yake , alikutwa ameadhirika akupata mshituko wa ghafla yaani
haamini .
Mshituko
huo ulimpelekea aanguke chini na kuzimia watu walienda kumbeba na
kumpeleka hospitali kupatiwa huduma ya kwanza basi hapo ndio magonjwa
mengine yalianza kujitokeza na kujulikana sana .
Kumbe
huyu kijana alikuwa na urafiki wa kimapenzi na shugamami mmoja mtaa wa
pili huyu shuga mami mume wake alifariki dunia miaka 5 iliyopita kwa
UKIMWI watu wanasema TB sijui , ndio huyu kijana kuona zile pesa za
shuga mamy akaenda kwake .
Kijana
aliumwa kwa miezi 3 hivi kisha akafariki dunia akaniacha duniani
mwenyewe , kule kazini nilifukuzwa kaza na bosi wangu kisa nilitaka
kumwambukiza ugonjwa wa ukimwi , lakini siku moja alinipigia simu
kunieleza kwamba mke wake ameadhirika na UKIMWI pia lakini yeye anasema
hajaadhirika .
Hapo
ndio nilishangaa sana , kwanini mke wake aadhirike yeye asiadhirike au
mke wake nae alikuwa anatoka nje ya ndoa bila mume wake kujua ? basi
hiyo ni siri yao nyumbani kwao mimi hayanihusu .
Lakini
ndio hivyo nilikuwa nimeshaadhirika na UKIMWI kazi nimeshafukuzwa sina
cha kufanya wala kutafakari nilifikiria zaidi kuhusu ugonjwa wangu wa
UKIMWI na jinsi nitakavyoweza kuishi maisha marefu kwa matumaini .
KAHABA
Baada
ya kuona maisha magumu na sina lolote la kufanya mimi kama mwanamke
mrembo na mwenye mvuto niliamua kutafuta njia rahisi zaidi ya kujipatia
kipitano nilifikiria njia nyingi sana ambazo zingeweza kunipatia angalau
mlo na mavazi katika siku zangu za maisha zilizobakia baada ya
kugundulika nina virusi vya ukimwi.
Nikaanza
kutafuta sehemu ambazo naweza kuuza mwili wangu kwa pesa za chapchap
niweze kuendeleza maisha yangu ya kila siku , nilikuwa na ramani yangu
kwanza pale OHIO , JOLLY , MACHENI , BILLS NA LATAVERNA hizo ni sehemu 5
kuu za starehe jijini dare s salaam kwahiyo huko naweza kufanya kazi za
kujiuza kwa wiki nzima kila siku bila kuchoka .
Ohio
ilikuwa nzuri ila tatizo lake ni kwamba kila anayepita pale anakujua
halafu unatakiwa uonyeshe maungo yako hadharani mimi sikuzoea tabia hizo
na sikuwa na mhemko huo kwahiyo nilivaa miwani yangu na kuacha mapaja
nje tu waangalie wenyewe kama wanapenda watakuja .
Kule
macheni tatizo lake ni mashoga wengi sana , yaani mwanaume anaweza
akaja kutafuta Malaya akakuchanganya wewe ni shoga , wale mashoga
wanaojiuza hawana tofauti na sisi wanawake tunaojiuza wakati Fulani
ulitokea ugomvi mkubwa watu waliamulia tulimgombea mwanaume .
Billa
nako kuzuri ila vijana wengi sana halafu hawana pesa , na vitoto vidogo
vingi , nilikuwa naogopa matatizo na vijana wa kule sikupenda kufanya
mchezo na watoto wadogo waliokuwa wananitaka hata kwa dau gani nilingoja
wanaume wenye pesa zao tu sio zaidi .
Basi
nilianza safari za kuelekea jolly club kwa ajili ya kujiuza mwili wangu
nipate angalau chochote cha kula na kufanya katika maisha yangu , pale
jolly club nilikutana na dada mmoja anaitwa Aisha , huyu dada nae ni
kahaba mzoefu akaanza kunionyesha mambo kadhaa wa kadha kuhusu biashara
ya ukahaba na kadhalika .
Hapa
ndio nilijufunza kwamba sio makahaba wote ni masikini au hawajiwezi
kuna wengine wanajiweza na wanazo fedha ila wanapenda kufanya ukahaba
yaani wamechoka na dunia wengine walikuwa na wanaume wao wakaachika
wakaamua kuja huku kwenda na mwanaume wowote yule anayekuja .
Wengine
wana matatizo katika ndoa zao kupigwa na kadhalika wanaamua kuja huku
kujiuza au kukaa huku ili kuepuka matatizo katika ndoa zao au mahusiano
yao , wengine ndio kama hivyo waume zao hawana nguvu za kutosha kufanya
nao tendo la ndoa wanaamua kuwa makahaba kila mtu na lake na mambo yake
pia .
Wengine
wanafanya huu ukabaha kwa ajili ya kupeleleza yaani ni wapelelezi wa
polisi au watu Fulani katika serikali wako katika mitaa hii kuzuga tu ,
ili wafanikishe kazi zao za uchunguzi kama polisi wa usalama sehemu
walizoko .
Mwisho
wa yote siku hizi kuna vita kubwa katika biashara hii ya ukabaha mjini
dare s salaam , mfano kule jolly kuna wazungu na wahindi wanakuja
kufanya biashara ya ukahaba kwahiyo wewe mwamfrika unakazi ngumu
kuwapita wale wazungu na wahindi au wachina .
Siku
hizi wanaume wengi wanapenda kitu kinaitwa JICHO yaani kufanya mapenzi
kinyume na maumbile , hii nayo ni soko kuu , mfano mwingine anaweza kuja
kwako anataka jicho na wewe hutoi jicho maana yake unakosa soko
suluhicho ni kujitoa mhanga na kufanya mapenzi kwa kuwa mteja ni mfalme .
Mbaya
zaidi kuna wanaume wengine wanakuja wanaweza kukuchukua uende nao
kufanya ngono kumbe wanakupiga filamu za ngono wakati unafanya kitendo
hicho haswa wazungu wengine wanakupa ufanye mapenzi na mbwa wao au
wanyama wao wengine mambo yanaenda hivyo .
Biashata
hii ya ukahaba ilinichanganyia sana kwa miaka 2 niliyoifanya na kwa
kweli hakuna aliyenijua kama nimeadhirika na ugonjwa wa ukimwi nilikuwa
najitunza na kutuza siri zangu hizi kuu na sikupenda kuzoeana na watu
sana hadi waniulize hivyo
Siwezi
kuhesabu ni watu wangapi nimefanya nao ngono lakini ni zaidi ya 300
siku zingine nafanya kazi na watu zaidi ya 3 kwa siku moja kwahiyo mambo
yanaendelea halafu wengi hawakupenda kutumia mipira ya kiume yaani
kondo walipenda kuja hivi hivi tu bila kinga chochote kile.
Na
mimi nilikuwa nimeshaadhirika nilichokuwa natafuta ni fedha za
kuendeleza maisha yangu kwahiyo hata kama nikifanya ngono zembe bila
kinga mimi hainiumi sana kwa kuwwa nilishajua hali yangu sikuweza
kuitengua siku wa chochote cha kufanya zaidi ya hichi .
Hii
ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa maasi ambayo yule kijana alinifanyia
kuniambukiza UKIMWI kwa makusudi huku akijua kabisa ameadhirika siku
nyingi ,kwakuwa yeye ameamua kuniuwa mimi basi na mimi nauwa wengi zaidi
na sijali kuhusu dhambi hizi nilizozifanya na sijutii kabisa .
MAISHA YA MTAANI
Huku
mitaani waliniita majina kama JLo wakati mwingine salma hayek yaani
wale waigizaji maarufu duniani kwa urembo nilio nao na mvuto wake ,
hakuna hata mmoja aliyekuwa na mawazo kama nimeadhirika au la kwa maana
yule kijana niliyekuwa nae kama mpenzi alikufa kifo cha ghafla watu
walisema amekufa kwa pressure .
Mitaani
napo nilikamua kinoma , waume za watu walikuja mpaka mlangoni kwangu na
magari yao , wananipakia na kunipeleka katika kumbi za starehe na
sehemu nyingine nyingi sana wengine walinihonga mali na mambo kibao kisa
wamenipenda wanataka ngono.
Na
kwa uhakika hawa wanaume niliwapanga sawia kabisa na hakuna aliyeweza
kutambua mimi nina wanaume wangapi na wanaishi wapi wengi walijua ni
washirika wangu katika kazi zangu na mambo yangu mengine kwanza
sikupenda kuongea na mwanaume wowote chumbani kwangu wote nilikuwa
nawaambia tukutane mbali kidogo na nyumbani haswa kati katika ya jiji .
Katika
hawa wateja wangu kulikuwa na kijana mmoja anayeitwa juma huyu juma
alikuwa na rafiki yake mmoja anayeitwa Shy , kijana mwembamba mwenye
umbo la wastani , hana ndevu halafu ni mcheshi sana , alifanikiwa
kuiteka moyo wangu , sasa nilitaka kumwambia mara kibao kwamba
nimemzimia.
Tatizo
ni kwamba anayekuja kunichukuwa pale ni juma , juma huja pale kwa
kusindikizwa na Shy , basi juma akanitambulisha katika website moja
inayoitwa darhotwire, nyumbani nikienda kupumzika nilipenda kushinda
katika tovuti hii kuchat na marafiki na watu wengine .
Huyu
shy nae nilimkuta katika site hii usiku wa manane anachat na jamaa zake
, ila siku moja nilikutana na kijana mwingine anayeitwa politeman ,
huyu ndio alinichanganya kabisa , kwanza jina lake na jinsi aliyokuwa
anaongea kweli nilizimia mwenyewe bado nikawa na siri kubwa moyoni je
hivi tukifanya ngono inakuwaje ?
Maisha
yaliendelea tu , basi nikimpenda politeman , huyu kijana akawa anakuja
mpaka nyumbani kwangu wakati mwingine na huwa nampa computer yangu
aitumie tukaenda zaidi nilimshitukia kumbe huyu polite ana urafiki wa
kimapenzi na dada mwingine anayeitwa salma siku moja walipanga kwenda
kufanya mapenzi lakini polite akakataa ?
Sikuamini
macho yangu wala masikio siku nyingi kama naota kumbe polite alikuwa na
urafiki na dada mmoja anaitwa Maria Chipz ?? Sikuamini , nilimuheshimu
sana maria na sikutegemea kama anaweza kufanya hivyo hata siku moja ,
muda ukaenda kumbe kuna dada mwingine anaitwa REHEMA naye alikuwa
anampenda Politeman Miss upanga Naye anampenda Politeman we acha tu.
Nikamwaga
chini sikupenda tabia zake za kitoto kitoto anazowafanyia hao kina dada
wengine ingawa nilifanya nae mapenzi kama mara 4 hivi na mara zote
hatukutumia kinga na nilikuwa nimeadhirika ila ni siri yangu , polite
hajui na wengine wote hawajui lakini ndio maisha hayo
Haya
ndio hivyo , nami sasa hivi nakaribia kufariki dunia niko zangu
kitandani hapa hospitali ya Amana mkoani dar es salaam , kweli maisha ni
safari ishi upendavyo na sio watakavyo , mwisho wa yote dunia sio hadaa
wala dunia haikuchukii au haitaki kukufanyia chochote kibaya
Bali
watu ndio hadaa , hata kama ni ndugu yako rafiki yako , hakikisha humpi
nafasi akutawale aweze kukumiliki wewe na kukuamrisha chochote kile
anachotaka yeye , kama ukifanya hivyo ndio utaishia kubaya kama mimi.
Bosi wangu alinimiliki sana nikampa penzi , kijana wa mitaani nae alinimiliki mpaka sasa nimeaona faida zake na hasara zake
Wacha ningoje siku zangu nife nizikwe niende ahera Kwaheri .
udakus
No comments:
Post a Comment