1. DIAMOND
KWA ZAIDI YA MIEZI MITATU TIMU NZIMA YA THECHOICE
ILIWEZA KUFANYA UTAFITI KWA KINA JUU YA KUFAHAMU WANAMUZIKI WA BONGO
FLEVA WENYE MAFANIKIO ZAIDI KUTOKANA NA MUZIKI HUO,TIMU YA THECHOICE IMEWEZA PATA WANAMUZIKI WATANO WENYE MAFANIKIO ZAIDI KUTOKANA NA MUZIKI HUO.
NI
MSANII ALIYE LETA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA MUZIKI HASAHASA KATIKA SHOW
ZA STEJINI YAANI LIVE PERFORMANCE .NI MSANII ANAYE LIPWA PESA NYINGI KWA
SASA TANZANIA KWA SHOW MOJA ANAYO FANYA.PIA NI MSANII MWENYE SHOW
NYINGI KWA MWEZI KULIKO WOTE,.HII IMECHANGIA KUWEZA KUPATA PESA NYINGI
KATIKA MDA MFUPI.ANAMILIKI NYUMBA KADHAA,VIWANJA,MAGARI,MADUKA.
DIAMOND
GARI ANAYO MILIKI YENYE THAMANI YA TSH.MIL 60
GARI ALIYO KUWA ANATEMBELEA MWANZO
2. LADY JAY DEE
NI
MSANII MWENYE HESHIMA SANA TANZANIA KUTOKANA NA KUJIHESHIMU
KWAKE,KAPATA MAFANIKIO SANA KATIKA KAZI ZAKE ZA MUZIKI NA KUWEZA KUWA
MFANO WA KUIGWA KWA WASANII WENGINE.KWANI UCHAPA KAZI WAKE NDO SABABU YA
MAFANIKIO YAKE KIMAISHA.
MALI ANAZOMILIKI NI PAMOJA NA -GARI AINA YA MURANO THAMANI YA
TSH.MIL
45, BASI AINA YA COSTA TSH.MIL.30, PRADO, NYUMBA NZURI YA KISASA,PAMOJA
NA MGAHAWA WA NYUMBANI LONGE WENYE THAMANI YA ZAIDI YA TSH.MIL.150 PIA
ALIANZISHA MAJI YAKE YA JAY DEE AMBAYO BAADAYE YALIZUIWA.
NYUMBANI LONGE KWA NDANI
NYUMBANI LONGE KWA NDANI
MAJI YA JAY DEE
NYUMBA YA KISASA ANAYOISHI
BASI KWA AJILI YA BAND YAKE YA MACHOZI BAND
3.AY
AY
NI MSANII MKIMNYA SANA NA HUWA HAWEKI MAMBO YAKE HADHARANI SANA
HASAHASA YA MAISHA YAKE.LAKINI NI MSANII MWENYE PESA NYINGI KUTOKANA NA
KUFANYA SHOW NYINGI ZA KIMATAIFA ZINAZO MPATIA PESA NYINGI.ANAMILIKI
MAGARI,ANA DUKA LA NGUA,PIA ANA NGUO ZAKE MAALUMU ZENYE NEMBO YA JINA
LAKE.
4.PROF J
NGULI
WA MUZIKI WA BONGO FLEVA TANZANIA,ANAFANYA SHOW NYINGI ZA NJE,NI MSANII
AALIYE DUMU KWA MDA MREFU,ANAMILIKI NYUMBA YA KISASA YA ZAIDI YA
TSH.MIL 100, ANAMILIKI GARI,MASHAMBA
PROF.J
NYUMBA YA PROF J
MBELE YA NYUMBA
Mwanalizombe
Studios Ni Recording Lebel Inayomilikiwa na Rapper Profesa Jay, Studio
ipo msasani na Ameamua kuipa Jina la Mwanalizomba kwasababu Jay Ni mtu
wa Ruvuma na Mwanalizombe maana yake ni Mwana Ruvuma na kufanya hivyo
ameonyesha mapenzi ya mkoa wake wa Ruvuma. Producer kwenye studio hii ni
Duke Touchez.
Profesa ameshindwa kusema amewekeza kiasi gani cha
fedha kwenye studio hio ila fahamu kuwa vifaa vilinunuliwa kwa wakati
tofauti na ni vifaa vya hali ya juu sana.
AINA YA GARI ANAYO TEMBELEA
KWA NDANI
KWA NJE
Profesa Jay akinionyesha jina la Saloon yake iliyoko Msasani mbele karibu
ni mitaa ilipokuwa Irish Pub
5.JUMA NATURE
MSANII WA SIKU NYINGI KATIKA GEMU,KWA JINA JINGINE NI MKONGWE KATIKA
MUZIKI WA TANZANIA HUU WA KIZAZI KIPYA,ANAMILIKI GARI,MASHAMBA,PIA NI
MFANYA BIASHARA ,ANAMILIKI NYUMBA,TUNASHUKURU KWA TIMU NZIMA YA
THECHOICE KWA KUFANYA UTAFITI HUU.TUTAENDELEA KUWALETEA VITU VIZURI
ZAIDI KILA SIKU NA ENDELEA KUWA NASI.
No comments:
Post a Comment