DOGO JANJA APATA MAJANGA MENGINE MAPYA,MUONEENI HURUMA JAMANI!!

  MSANII mdogo anaetamba katika tasnia ya muziki wa bongo fleva Dogo Janja A.k.a Janjaro amefukuzwa rasmi leo Mtanashati Entertinment. Taarifa zilizofikia dawati letu la

habari zinasema Dogo Janja amefukuzwa na Ostazi Juma Na Musoma baada ya kushindwana kitabia, Hapo awali Dogo Janja aliwahi kuwa mwanakundi la Tip Top Connection lililo chini ya uongozi wa Madee hata hivyo alifukuzwa na kurudi kwao Arusha ambapo Ustazi Juma Na Musoma alimfuata na na kumuweka kundini huku akimuhudumia katika kila jambo ambalo alitakiwa kupata kama mtoto na mwanamuziki pia. Lakini Leo imefika tamati ya Ostazi Juma na kuamua kumuacha Dogo Janja

No comments: