Breaking
News: Mkuu wa Kituo cha Polisi\ Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga Inspekta
Nsekelo amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na kundi la watu
wasiojulikana waliokuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi katika vijiji vya
Lolagana na Mwambe baada ya kutokea mapambano baina ya kikundi hicho na
polisi.
No comments:
Post a Comment