UPDATE:SHUGHULI ZA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU JULIUS NYAISANGAH ZINAENDELEA KWENYE VIWANJA VYA LEADERS


Makamu wa rais wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal amewaongoza wakazi wa Dsm kuuga mwili wa mtangazaji mkongwe Julius Nyaisangah katika viwanja vya Leaders Club.

 
Mwili wa marehemu unatarajiwa kupelekwa kwao Tarime kwa mazishi.Mungu ampumzishe kwa amani Julius Nyaisanga.

No comments: