MADAM RITA AMPA SHAVU NEY WA MITEGO KUWA JAJI BSS.

Hii
Itawashangaza wengi lakini mie nimeipenda sana , Baada ya Ney wa Mitego
Kuiponda Bongo Star Search na Kuuliza kama kweli washindi wanapewa
zawadi huku akiwaponda kuwa wamechoka.Madam
Rita Ameibuka na Kumpa Ujaji Ney katika shindano hilo ...Ataaza
kuonekana Wiki Ijayo ,,Big up najua hii Itawavuta watu wengu kutazama
show hiyo....
No comments:
Post a Comment